qu
answer
Nyumbani
Uliza!
Wataalam
Tafuta
Kiswahili
Taarifa
Ingia
qu
answer
Nyumbani
Wataalam
Uliza!
Taarifa
Ingia
Loading...
Pakia maswali mapya
Anonim
Mei 5
#elimu-ya-watoto
Hatua za kumfundsha mtoto matamshi
Onyesha zaidi...
2
3
Mbajune vicent John
Mei 5
#tanzania
#soko-huria
#uchumi
Je Tanzania ina nafasi gani katika uchumi wa soko huria? na je ni zipi athari zake kwa Tanzania?
Onyesha zaidi...
2
1
Mbajune vicent John
Mei 5
#siasa
#uchumi
Je Tanzania ina nafasi gani katika uchumi wa soko huria? na zipi athari zake kwa Tanzania?
Onyesha zaidi...
2
6
Mbajune vicent John
Mei 5
#mipango-ya-serikali
#uwajibikaji-wa-kitaifa
#utawala-wa-sheria
#kimataifa
#elimu-ya-uchumi
#uhuru-wa-biashara
#utekelezaji-wa-sheria
#ushindani-wa-soko
Orodhesha vigezo sita vya uchumi wa soko huria
Onyesha zaidi...
2
3
Mbajune vicent John
Mei 5
#hesabu
#kilimo
Watu sita hulima shamba la ekari 24 kwa siku 4. Je watu 3 watapima shamba kwa siku ngapi?
Onyesha zaidi...
2
10
Mbajune vicent John
Mei 4
#muziki
#teknolojia
Ala za sauti nini na ni zipi?
Onyesha zaidi...
2
4
Mbajune vicent John
Mei 4
#elimu-ya-watoto
#maendeleo-ya-mtoto
#ukuaji
Ni ala zipi za sauti zinazomsaidia mtoto kumudu kutamka maneno?. taja ala kumi(10)
Onyesha zaidi...
2
2
Mbajune vicent John
Mei 3
#elimu-ya-awali
Eleza kwa kifupi vitendo vinne utakavyofanya kumfundisha mtoto wa elimu ya awali kutambua majira ya siku katika juma
Onyesha zaidi...
2
2
Mbajune vicent John
Mei 3
#elimu
#walimu
#kupunguza-vitu
#mtoto
#elimu-ya-awali
Eleza vitengo vitano atakavyo fanya mwalimu kumfundisha mtoto wa elimu ya awali dhana ya kupunguza vitu visivyopungua 10
Onyesha zaidi...
2
3
Mbajune vicent John
Mei 3
#elimu-ya-watoto
#elimu-ya-awali
Kwa kutumia hoja tano eleza jinsi utakavyomfundisha mtoto wa elimu ya awali ili aweze kuongeza vitu vyenye jumla isiyozidi 10 kwa usahihi
Onyesha zaidi...
2
1
Next page
×
Anonim
Ingia
Uliza!
Nyumbani
Wataalam
Lebo
Tafuta
Kuwa mmoja wa wataalam
Kuhusu Sisi
Maswali Yanayoulizwa Sana
Wasiliana Nasi
Masharti ya Matumizi
Sera ya Faragha
© 2024 - Quanswer
Chagua lugha
×
English
Magyar
Română
Español
Français
Português
Deutsch
Nederlands
Norsk